FM GRAPHICS

Collection by Francis Mtey

18 
Pins
 • 
15 
Followers
Francis Mtey
Pictures of the day: 25 March 2011 Aircraft, Pictures, Planes, Trains, Wings, Graphics, Cars, Photos, Airplanes

Hizi ndizo Ndege kubwa Duniani zinazobeba mizigo na zimetengenezwa kwa Technologia ya hali ya juu, Ndege hizi zote zimetengezezwa nchini (Ukrainian) na kampuni moja inaitwa {Soviet Union's Antonov Desig} HIZI NDIZO SIFA ZA HIZI NDEGE ZA MIZIGO SIFA ZAKECrew: 6Length: 84 m (275 ft 7 in)Wingspan:

''Ni vizuri kuweka msingi kwanza katika kitu chochote unacho amua kujifunza ili uwe imara zaidi'' Karibuni tena wale mnaofuatilia masomo yetu namna au jinsi ya kutumia Adobe Photoshop Cs5 Tools. Bila kuchelewa tumeamua kutengeneza msingi mzuri kwanza kabla hatujaamia kwenye tools zinazofuata, Hivyo Photoshop Cs5, Graphics, Shirt Dress, Tools, Mens Tops, Jackets, Shirts, Dresses, Fashion

''Ni vizuri kuweka msingi kwanza katika kitu chochote unacho amua kujifunza ili uwe imara zaidi'' Karibuni tena wale mnaofuatilia masomo yetu namna au jinsi ya kutumia Adobe Photoshop Cs5 Tools. Bila kuchelewa tumeamua kutengeneza msingi mzuri kwanza kabla hatujaamia kwenye tools zinazofuata, Hivyo

The Kevo deadbolt from Kwikset uses Bluetooth Low Energy and an app for your smartphone to allow you to unlock your door just by touching it. The Kevo smart lock package includes one deadbolt, one… Bluetooth Low Energy, Home Security Tips, New Business Ideas, Bob Vila, Door Locks, We Heart It, Smartphone, Vacation, Holiday

HII NI APPLICATION YA SIMU IITWAYO KWIKSET AMBAYO HUWEKWA KATIKA SIMU KAMA UNAVYO IYONA KATIKA PICHA HII YA JUU,KWA SASA HII APPLICATION IMEWEKWA KATIKA SIMU ZA IPHONE PEKEE

Tunawashukuru wote waliofuatilia Masomo yetu naamini wote mliofuatilia Mmefaidika vya kutosha. pia nashukuru kwa wote walio like na kushare baadhi ya Mafunzo au habari mbalimbali za Blogu Yetu. Tunaomba msikose kufuatilia Awamu ya pili ya mafunzo ya namna ya kutumia Adobe Photoshop cs5 Tools, kabla Slice Tool, Photoshop Cs5, Healing, Graphics, Tools, Graphic Design, Therapy, Recovery, Appliance

Tunawashukuru wote waliofuatilia Masomo yetu naamini wote mliofuatilia Mmefaidika vya kutosha. pia nashukuru kwa wote walio like na kushare baadhi ya Mafunzo au habari mbalimbali za Blogu Yetu. Tunaomba msikose kufuatilia Awamu ya pili ya mafunzo ya namna ya kutumia Adobe Photoshop cs5 Tools, kabla

Oasis of the Seas Royal Caribbean Cruise Line please just let me go backkkkk Royal Caribbean Oasis, Caribbean Cruise Line, Western Caribbean Cruise, Royal Caribbean International, Biggest Cruise Ship, Best Cruise Ships, Cruise Travel, Cruise Vacation, Cruise Tips

Kukua kwa Technologia kwa sasa Duniani limekuwa si jambo la kushangaza, Hii ni Meli inayosemekana Kuwa ni kubwa zaidi Ulimwenguni au kwa lugha nyingine tunasema ni Mara 4 ya TITANIC. Meli hii au kwa jina OASIS OF THE SEAS imetengenezwa na shirika moja linaitwa , Royal Caribbean International, mwaka

UTorrent plus crack is a best and most popular BitTorrent Clients available for PC or Laptop. In working this software is fast, easy to use,Serial Key Trondheim, Autocad, Microsoft, Software, Life Lyrics, Photoshop Cs5, Music Files, Linux, Internet

Leo Ndugu zetu tunajifunza kidgo juu ya Torrents, Unajua ni nini Hii, Kazi zake, Uwezo wake, Namna ya Kutumia, Jinsi ya kuepuka Viruses...Karibu Torrents ni meta search engine ambayo huwezesha mtumiaji wa search engine hiyo kuweza kutafuta vitu vilivyomo kwenye search engine hiyo pekee...hii si

Watu wengi wamekuwa wakiniuliza matumizi ya kutumia baadhi ya TOOLS{vifaa} katika Program zao za PHOTOSHOP wanazotumia, sasa kutakuwa na mfululizo wa masomo jinsi ya kutumia ADOBE PHOTOSHOP, hasa tutatumia Photoshop cs5.                                      HIZI NDIZO TOOLS ZA PHOTOSHOP CS 5Hivyo le Photoshop Cs5, Photoshop Tutorial, Ink Addiction, Eps Vector, Vector Icons, Vector Free Download, Illustrations And Posters, Graphic Design Art

Watu wengi wamekuwa wakiniuliza matumizi ya kutumia baadhi ya TOOLS{vifaa} katika Program zao za PHOTOSHOP wanazotumia, sasa kutakuwa na mfululizo wa masomo jinsi ya kutumia ADOBE PHOTOSHOP, hasa tutatumia Photoshop cs5. HIZI NDIZO TOOLS ZA PHOTOSHOP CS 5Hivyo le

Adobe Photoshop has always been one of the greatest (if not the best) software when it comes to manipulating and editing image. It all started off in 1987 Mac Application, Two Decades, Adobe Photoshop, Evolution, Software, Things To Come, Display, Funny, Inspiration

Adobe Photoshop has always been one of the greatest (if not the best) software when it comes to manipulating and editing image. It all started off in 1987 with a Mac application call Display, created by Thomas Knoll. With almost two decades worth of changes and improvements, you almost can’t ima

Leo tunahamia katika somo la Pili katika mfululizo wa masomo yetu namna ya kutumia Tools zilizopo ndani ya software ya ADOBE PHOTOSHOP CS 5. katika somo lililopita tilijifunza jinsi ya kutumia Move Tool. Ambayo tuliona ina kazi kubwa sana ndani ya Software hii.Sasa leo tunahamia katika somo la pili Photoshop Cs5, Photoshop Tutorial, Ink Addiction, Eps Vector, Vector Icons, Vector Free Download, Illustrations And Posters, Graphic Design Art

Leo tunahamia katika somo la Pili katika mfululizo wa masomo yetu namna ya kutumia Tools zilizopo ndani ya software ya ADOBE PHOTOSHOP CS 5. katika somo lililopita tilijifunza jinsi ya kutumia Move Tool. Ambayo tuliona ina kazi kubwa sana ndani ya Software hii.Sasa leo tunahamia katika somo la pili

Leo tunahamia katika somo la Ttu katika mfululizo wa masomo yetu namna ya kutumia Tools zilizopo ndani ya software ya ADOBE PHOTOSHOP CS 5. katika somo lililopita tilijifunza jinsi ya kutumia RECTANGULAR MARQUEE TOOL Ambayo tuliona  kazi zake ndani ya Software hii.Kama ilvyo ada Leo tuingie moja kwa Adobe Photoshop, Leo, Software, Graphics, Tools, Image, Graphic Design, Appliance, Lion

Leo tunahamia katika somo la Ttu katika mfululizo wa masomo yetu namna ya kutumia Tools zilizopo ndani ya software ya ADOBE PHOTOSHOP CS 5. katika somo lililopita tilijifunza jinsi ya kutumia RECTANGULAR MARQUEE TOOL Ambayo tuliona kazi zake ndani ya Software hii.Kama ilvyo ada Leo tuingie moja kwa

Social Media Band Wagon Here is a terrific Advertising and marketing suggestion! Look into this Advertising idea! Need a marketing idea? This is good advertising and marketing stuff, ideas and also tools. Social Marketing, Marketing Mobile, Marketing Digital, Internet Marketing, Online Marketing, Business Marketing, Viral Marketing, Online Business, Facebook Marketing

Ndugu mwana Teknohama, leo naomba tumalizie makala hii ya athari za mitandao ya kijamii katika maisha ya watu.Pamoja na mambo yote tulozungumza katika matoleo yalopita, leo ntaongelea kwa kina faida na hasara za mitandao ya kijamii. Faida za mitandao ya kijamii: Mitandao ya kijamii inawasaidia watu

Kama ulidhani Samsung Galaxy S4 ndio kali ya mwaka kutoka Samsung basi kaa mkao wa kula, Samsung wametangaza TV ya S9 kuwa itauzwa madukani mwaka huu. TV hiyo ambayo ni 4K Ultra HD ina rezolushani mara nne kuliko Televisheni za HD za kawaida. Yaani mn’gao na uzuri wa skrini ya TV hii jicho la mwana New Samsung, Samsung Galaxy S4, Tv Reviews, Gao, Uk News, Smart Tv, Top Rated

Kama ulidhani Samsung Galaxy S4 ndio kali ya mwaka kutoka Samsung basi kaa mkao wa kula, Samsung wametangaza TV ya S9 kuwa itauzwa madukani mwaka huu. TV hiyo ambayo ni 4K Ultra HD ina rezolushani mara nne kuliko Televisheni za HD za kawaida. Yaani mn’gao na uzuri wa skrini ya TV hii jicho la mwana

Habarini Ndugu zetu, Leo tunajifunza tatizo la windows kutokuwa genuine.  Microsoft windows hutoa Genuine windows ambazo ni bidhaa ya uhakika na  ni halisia kutoka microsoft, wengi tumekuwa hatutumii genuine windows  kwa kuwa ni gharama kununua genuine windows. Kwa kutambua tatizo hilo microsoft wam Google Ads, Microsoft Windows, Earn Money, Software, Leo, Graphics, Maps, Graphic Design, Lion

Habarini Ndugu zetu, Leo tunajifunza tatizo la windows kutokuwa genuine. Microsoft windows hutoa Genuine windows ambazo ni bidhaa ya uhakika na ni halisia kutoka microsoft, wengi tumekuwa hatutumii genuine windows kwa kuwa ni gharama kununua genuine windows. Kwa kutambua tatizo hilo microsoft wam

Karibuni tena katika mfululizo wa masomo yetu  wa masomo yetu Jinsi ya kutumia Tools ndani ya Adobe photosho cs 5. Kama tulivyoona katika mfululizo wa masomo yaliyopita tulijifuza namna ya kutumia tools mbalimbali nilizozielezea. na natumaini ulinielewa vya kutosha. Leo tunaingia katika Mfululizo w Tina Fey, Pink Lemonade, Wands, Desktop Screenshot, Tools, Leo, Adobe, Graphics, Graphic Design

Karibuni tena katika mfululizo wa masomo yetu wa masomo yetu Jinsi ya kutumia Tools ndani ya Adobe photosho cs 5. Kama tulivyoona katika mfululizo wa masomo yaliyopita tulijifuza namna ya kutumia tools mbalimbali nilizozielezea. na natumaini ulinielewa vya kutosha. Leo tunaingia katika Mfululizo w